Zawadi Kawawa,Nape Nnauye,Violet Mzindakaya,Rizwaini Kiwete. Benno Malisa. Hivi ni aibu gani jamani hii yaani mmeshindwa kuficha uozo wenu mpaka mnampitisha hata Benno Malisa??Nomba ikumbukwe kuwa Rizwani na Benno ni marafiki wakubwa sana na wamesoma wote Chuo kikuu cha Dar es salute dogo kapewa come about ya kuwa makamu mwenyekiti wa umoja wa vijana wa ccm kumbuka Benno ni fress from school hajui lolote kwenye siasa lakini kapachikwa na sasa ndo huyoo kaingia kwenye Nec haya 2010 utasikia ni Mbunge na usishangae ukaambiwa Benno ni waziri au Naibu waziri dohany way tutafika tu
Naunga mkono alichosema Msekwa. Ni vizuri Chama kianze kuajiri au kuchukua watoto wenye akili sana toka vyuo vikuu ndani ndani na nje ya nchi na kuwa-groom kwenye chama. Vinginevyo nchi itaishia tu kuongozwa na watoto wa viongozi na makada tu karne na karne ambao sina uhakika kama wengi wao IQ yao iko juu sana na kama wana stamina za kutosha kuhimili mikikimikiki ya mapambano ya pinzani kali na changamoto kali za kisiasa kwa hoja kali za upeo mkubwa wa juu sana. Sina uhakikaNaona Chama kama CHADEMA kimeanza kulenga wasomi wenye upeo na kuwagroom,CCM ikiendekeza watoto wa vigogo isishangae kukaukiwa hoja mbeleni na kutafuta maji ya kunywa kwa kukosa cha kujibu. CCM iskilize ushauri wa MSEKWA. Anzeni kutafuta watu wenye akili hasa toka vyuoni waingie na muwape nafasi ndani ya chama. Kama hawataki kugombea nafasi wekeni nafasi za wajumbe wa kuteuliwa. Wateueni wapeni madaraka waingizeni hadi NEC kwa kuteuliwa ikibidi. Sababu katika siasa watu wazuri mara ingine huwa hawapendi kugombea kwa kura lakini ukiwateua ukawaingiza utawaona ubora wao. Ushindi huu nautazama kwa jicho tofauti mfano kundi la vijana walioingia NEC washindi wengi wanatoka Dar es salute,wilaya ya Kinondoni sijui ni bahati mbaya au ni nini ? Na wengi walioteuliwa kugombea katika kundi hili pia walitoka wilaya ya Kinondoni!!!! Kimshikamano kitaifa ni sawa kuteua wengi toka wilaya moja tu kugombea kwenye chombo kikuu kama NEC????Wataalamu wa tafiti za kisiasa mnaweza saidia hili!koloboi@yahoo com
Forex Groups - Tips on Trading
Related article:
http://mjengwa.blogspot.com/2007/11/binti-mfalme-violet-mzindakaya.html
comments | Add comment | Report as Spam
|